Matukio muhimu | 01.12.2008
Siku ya Ukimwi yaadhimishwa ulimwenguni

Ni miaka 20 tangu siku ya Ukimwi kuadhimishwa kote ulimwenguni.Siku hii huadhimishwa ili kutathmini hatua zilizopigwa mpaka sasa katika vita dhidi ya Ukimwi. »Mehr zu: title"
Habari
Kiwango cha maambukizo ya ukimwi barani Ulaya chaongezeka.
STOCKHOLM:
Shirika la Afya DunianiĀ pamoja na Kituo cha magonjwa cha Umoja wa Ulaya yemearifu kuwa kiwango cha maambukizo ya ukimwi, ...
»Mehr zu: title"More news
Matukio ya Kisiasa | 01.12.2008
Mafaniko au ahadi tupu tokea kupitishwa kwa azimio la haki za binadaamu miaka 60 iliopita
Hapo tarehe 10 mwezi was Desemba mwaka 1948 mataifa wanachama wa Umoja wa Mataifa yalikubaliana juu ya azimio la dunia la haki za binaadamu.Mwaka huu mataifa hayo yanaadhamisha miaka 60 ya azimio hilo. »Mehr zu: title"
Matukio ya Kisiasa | 01.12.2008
Mwanasiasa mwengine wa India ajiuzulu wakati hasira ikizidi kuchemka dhidi ya mashambulizi ya Mumbai

Mwanasiasa mwengine mwandamizi wa India ameomba kujiuzulu leo hii kutokana na mashambulizi ya mji wa Mumbai ambayo yametibuwa uhusiano kati ya India na hasimu yake mwenye kumiliki silaha za nuklea Pakistan. »Mehr zu: title"
Matukio ya Kisiasa | 29.11.2008
Mjumbe wa Umoja wa Mataifa kukutana tena na kiongozi wa waasi nchni Congo

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa leo amewasili Goma kwa mazungumzo na kiongozi wa waasi Laurent Nkunda katika jaribio la kukomesha mzozo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo. »Mehr zu: title"
Matukio muhimu | 01.12.2008
Kiongozi wa ngazi za juu ajiuzulu baada ya mashambulizi ya India

Waziri wa mambo ya ndani wa India Shivraj Patil amejiuzulu kufuatia shinikizo dhidi ya serikali baada ya eneo la kibiashara mjini Mumbai kushambuliwa kwa mabomu. »Mehr zu: title"







